PATRICIA-TV.com

PATRICIA-TV.com

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Recent Posts

View More

Tuesday, September 3, 2019

MESSI AIVURUGA BARCELONA, TETESI ZA SOKA LEO ULAYA JUMANNE ZIKO HAPA

3:33:00 AM 0

Ujumbe mfupi kutoka kwa Lionel Messi huenda ulivuruga mpango wa Barcelona kumsajili tena mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Neymar, 27, kutoka klabu ya Paris St-Germain. (L'Equipe, via Star) Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi angelifanikiwa k...

Read More

JACKPOT KUBWA YA KIHISTORIA YA TANZANIA, SH MILIONI 825 ZAKABIDHIWA KWA WASHINDI WAWILI KUTOKA SPORTPESA

2:54:00 AM 0

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya Jackpot ya SportPesa kuvunjwa kwa mara ya kwanza ikiwa imefikia jumla ya milioni 825,913,640/= na washindi wawili kupatikana,leo hii wamekabidhiwa rasmi mkwanja wao kila mmoja akichomoka na kitita cha...

Read More

TSHABALALA AANZA JEURI SIMBA

2:31:00 AM 0

Nahodha Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesema ushindi wa mabao 3-1 walioupata dhidi ya JKT Tanzania, wiki iliyopita umerudisha morali kwa wachezaji hadi kwa mashabiki wa timu hiyo. Simba ilifanikiwa kupata ushindi hu...

Read More

ACHANA NA BILIONI ZA GSM, YANGA YAPATA NEEMA NYINGINE MWANZA

2:30:00 AM 0

Uongozi wa Yanga umesema kuwa utawapatia wachezaji wake fedha ambazo zilikuwa kama motisha kuhakikisha wanaitoa timu ya Township Rollers ya Botswana. Uongozi huo uliahidi kiasi cha shiligi milioni 50 ili kuwaondoa wapinzani wao hao, am...

Read More

MBERIGIJI SIMBA AKOMAA NA WABRAZIL, UONGOZI WAFUNGUKA

2:28:00 AM 0

Wakati Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha michezo iliyopo katika Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameendelea kuwakomalia wachezaji wake Wabrazili kwa kuwafanyisha mazoezi katika Uwanja...

Read More

WATU WAENDELEA KUJISHINDIA MKWANJA WA MAANA KUTOKA KAMPUNI YA SPORTPESA

2:25:00 AM 0

Mshindi wa Jackpot Bonus Barikiwa Akson Kasekwa akikabidhiwa hundi ya shilingi 7,187,699/= mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tarimba Abbas. ...

Read More

STARS YAPANIA KUFANYA MAKUBWA BURUNDI

2:22:00 AM 0

MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa wachezaji wanatambua kazi kubwa ambayo wametumwa na Taifa kwa ajili ya kupeperusha bendera mbele ya Burundi. Stars leo inaanza safari ya kwenda nchini Burundi kwa ajili ya m...

Read More

BAADA YA MAPITO MAREFU KATIKA MAISHA YAKE, HAWA WA NITAREJEA AMTAMANI DIAMOND

2:21:00 AM 0

Anaitwa Hawa Mayoka lakini wengi wanapenda kumuita Hawa Nitarejea. Mwanadada huyu amepitia wakati mgumu baada ya kuugua lakini Mungu akamsimamisha tena. Ukibahatika kuzungumza naye lazima atakuambia anamshukuru sana Nasibu Abdul ‘Diamond P...

Read More

KAZI IMEANZA, MBERIGIJI APANGUA KIKOSI SIMBA

2:19:00 AM 0

Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa anataka kuona timu yake inapata ushindi wa mabao kuanzia matatu hadi matano kwenye michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara. Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kupata ushindi wa mabao 3-1 wali...

Read More

INAUMA!!!!! MTOTO MBEYA AIBWA KIMAFIA

2:18:00 AM 0

MBEYA: INAUMA sana! Ni maneno ambayo mtu yeyote anayejua uchungu wa mtoto anaweza kuyatamka kutokana na mtoto Herieth Ismail mwenye umri wa miezi sita kuibwa kimafia, Ijumaa Wikienda linakupa habari kamili. Akielezea kwa masikitiko mama wa...

Read More

STARS YAONDOKA KIBABE KUWAFUATA BURUNDI KWAO

2:13:00 AM 0

Beki Kelvin Yondan akiwaongoza wachezaji wenzake wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam kwa safari ya Bujumbura nchini Burundi leo asubuhi Wachez...

Read More

KUBORONGA KWA KMC NA SIMBA KIMATAIFA, KUWARUDISHE DARASANI AZAM FC NA YANGA SPORT CLUB

2:11:00 AM 0

MAMBO yanazidi kupamba moto kwenye michuano ya kimataifa ambapo wale wawakilishi wetu kimataifa wameweza kuzijua mbivu na mbichi baada ya kukamilisha michezo yao miwili ya hatua ya awali. Ukubwa wa michuano hii unafanya kila timu kutafuta m...

Read More
Page 1 of 21812345...218Next �Last

Post Top Ad