KOCHA WA DIBABA AACHILIWA UHISPANIA. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

KOCHA WA DIBABA AACHILIWA UHISPANIA.


Kocha wa wanariadha wa Ethiopia ameachiliwa na polisi nchini Uhispania baada ya kushtakiwa kwa kuwapa wanariadha madawa yaliyopigwa marufuku.Jama Aden raia wa Somalia ambaye ni kocha wa mawanariadha wa Ethiopia Genzebe Dibaba alikamatwa siku ya Jumatatu.

Aliachiliwa pamoja na watu wengine wawili akiwemo raia w aMorocco physio Ouarid Mounir na manaridha mzaliwa wa Sudan mwenye uraia wa Qatar Musaeb Balla.

Hata hivyo pasipoti za watatua hao zilitwaliwa ikiaanisha kuwa hawatasafiri nje ya Uhipania na lazima waripoiti kwa polisi mara moja kwa mwezi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here