BASI LA NBS NA LILE LA KISBO , YAMEPATA AJALI MOROGORO NA HII NDIYO IDADI YA MAJERUHI NA WALIOFARIKI - PATRICIA-TV.com

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Monday, June 20, 2016

BASI LA NBS NA LILE LA KISBO , YAMEPATA AJALI MOROGORO NA HII NDIYO IDADI YA MAJERUHI NA WALIOFARIKI

Responsive Ads Here

Basi la NBS linalotoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali mbaya maeneo ya Chakwale wilayani Gairo mkoani Morogoro.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinaarifu kuwa watu 5 wamefariki na 27 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad