KANYE WEST AFURAHIA NA KUMUUNGA MKONO MKEWE KUPIGA PICHA ZA NUSU UTUPU - PATRICIA-TV.com

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Sunday, June 19, 2016

KANYE WEST AFURAHIA NA KUMUUNGA MKONO MKEWE KUPIGA PICHA ZA NUSU UTUPU

Responsive Ads Here
Kim Kardashian
Siku chache baada ya Gazeti la GQ kuingia mitaani, ukurasa wa mbele likipambwa na picha kubwa ya nusu utupu ya staa mkubwa Marekani, Kim Kardashian, mumewe wa ndoa, Kanye West amemuunga mkono mkewe kwa kupiga picha hiyo na kuacha gumzo kubwa duniani kote.
Kim Kardashian
Kim Kardashian

Katika picha hiyo, Kim aliyezaa na Kanye mtoto mmoja aitwaye North, anaonekana katika gazeti hilo akiwa hajavaa nguo yoyote zaidi ya kujifunika maeneo yake nyeti kwa koti.
“Ameifurahia sana ile picha, anasema amependa mkewe alivyotoka kwani hakuwa amepaka ‘make-up’ wala kuvaa nguo lakini bado ameonekana mrembo. Amemshauri kwamba waisafishe upya na kuiweka kwenye fremu na kuihifadhi nyumbani kwao kwa ajili ya ukumbusho,” kilisema chanzo kimoja kilicho jirani na wanandoa hao.
Kim Kardashian

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad