WANAJESHI WA SUDAN KUSINI WAIBA CHAKULA . - PATRICIA-TV.com

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Thursday, June 23, 2016

WANAJESHI WA SUDAN KUSINI WAIBA CHAKULA .

Responsive Ads Here

Wanajeshi wa Sudan Kusini waliokuwa wenye njaa wameiba chakula kutoka kwa mfanyibaishara mmoja katika moja ya masoko makuu kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Juba.Wakati mfanyibiashara huyo katika soko la Konyo Konyo aliwataka wanajeshi hao walipie chakula hicho, walimjibu na kumuambia aende kwa Rais Salva Kiir kudai pesa zake kwa sababu hawajalipwa mishara kwa miezi kadha.

Wafanyibiashara wengine walifunga maduka yao ili wanajeshi hao wasije nao wakawaibie.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad