KOREA KASKAZINI YADAI INA UWEZO WA KULIPUA MAREKANI - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

KOREA KASKAZINI YADAI INA UWEZO WA KULIPUA MAREKANI

Korea Kaskazini yadai ina uwezo wa kulipua Marekani.

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesema kuwa taifa lake linauwezo wa kushambulia maeneo ya Marekani, katika bahari ya Pacific.Rais Kim Jong alisema hayo baada ya taifa lake kufanikiwa kutekeleza majaribio ya makombora yenye uwezo wa kusafiri mwendo wa kasi hadi masafa ya kadri.


bwana Kim Jong mwenyewe alisimamia na kushuhudia majaribio hayo ya silaha hatari ya masafa ya kadriRuninga ya taifa mjini Pyongyang, imetangaza kuwa bwana Kim Jong mwenyewe alisimamia na kushuhudia majaribio hayo ya silaha hatari ya masafa ya kadri.


Wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa wamekutana na kuelezea kutamaushwa kwaoWataalamu wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini wanasema kwamba kombora moja lilishindwa kulipuka ilihali la pili ilifaulu kwenda zaidi ya mamia ya kilomita.
Korea Kaskazini imesifia pakubwa uwezo wake huo wa kuunda silaha za kitonoradi.


Korea Kaskazini imesifia pakubwa uwezo wake huo wa kuunda silaha za kitonoradi.Wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa wamekutana na kuelezea kutamaushwa kwao na hatua hiyo ya Korea Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here