RAIS AMTEUA MWANAE KUWA MAKAMU WA RAIS. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

RAIS AMTEUA MWANAE KUWA MAKAMU WA RAIS.

Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema.

Equatorial Guinea
Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema amteua mwanaye wa kwanza wa kiume, Teodoro ‘Teodorin’ Nguema Obiang Mangue kuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo.

Teodoro Obiang Nguema na familia ya rais Obama.

Mtoto huyo pia ndiye atakua Msimamizi Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Usalama wa Taifa hilo. Uteuzi huu unafuatia ushindi wa kishindo wa 93.7% katika Uchaguzi Mkuu wa Urais uliofanyika Aprili 24, mwaka huu.

Teodorin alikuwa Makamu wa Pili wa rais wa awamu iliyopita nchini humo, ambapo cheyo hicho cha Makamu wa Pili wa Rais, sasa kimefutwa kwenye uongozi mpya wa rais Obiang’.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here