RAIS MAGUFULI ATEMA CHECHE : UTAWALA WANGU SITAKI KULIMBIKIZA WATU VYEO - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 30, 2016

RAIS MAGUFULI ATEMA CHECHE : UTAWALA WANGU SITAKI KULIMBIKIZA WATU VYEO


Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateua mbunge kuwa mkuu wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji, kwamba "Haiwezekani katika watanzania mil. 50 tukose watu hadi turudie watu vyeo".

Tunataka tuchape kazi kwa ufanisi na ufanisi hauwezi kuja kwa kumrundikia mtu vyeo"

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here