RAIS ZUMA AAMRISHWA KUREJESHA PESA ZA UMMA ALIZOTUMIA KUKARABATI NYUMBA YAKE BINAFSI - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, June 27, 2016

RAIS ZUMA AAMRISHWA KUREJESHA PESA ZA UMMA ALIZOTUMIA KUKARABATI NYUMBA YAKE BINAFSI


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameambiwa kuwa ni lazima alipe zaid ya dola nusu milioni pesa za umma, ambazo alitumia kukarabati nyumba yake.

Mahakama ya juu zaidi nchini Afrika Kusini imetaka wizara ya fedha, kutambua ikiwa ni kiaisi gasi Rais Zuma anasathili kurejesha kufutia uamuzi wa mapema mwaka huu kuwa alikuwa amekiuka katiba

Kumekuwa na wito wa kumtaka Raia Zuma ajiuzulu kutokana na sakata hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here