TFF YABADILISHA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE. JERY MURO ATOA TAMKO. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

TFF YABADILISHA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE. JERY MURO ATOA TAMKO.


Mchezo huo ni wa pili kwa timu hizo, Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo huo na itahitaji ushindi kwa namna yeyote ile ili kupunguza gap la pointi baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya MO Bejaia ya Algeria wakati TP Mazembe wao walishinda dhidi ya Medeama.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here