Tundu Lissu asekwa rumande kwa maneno ya uchochezi baada ya kuhojiwa. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 30, 2016

Tundu Lissu asekwa rumande kwa maneno ya uchochezi baada ya kuhojiwa.


Siku moja baada ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kujisalimisha katika mahakama ya hakimu MkaziKisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya uchochezi na kisha kuachiwa kwa dhamana, mbunge huyo amenasa tena kwenye mikono ya polisi. 

Leo, Tundu Lissu alihojiwa tena kwa saa tatu na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kutoa kauli nyingine za kichochezi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana nje ya mahakama yaKisutu.


Baada ya leo kuhojiwa kwa zaidi ya masaa 3 na jeshi la polisi hatimaye amesekwa rumande kwa maneno yake ya uchochezi juu ya rais,

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here