WIZKID AINGIA BOOTH NA RAPA FRENCH MONTANA. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

WIZKID AINGIA BOOTH NA RAPA FRENCH MONTANA.


Staa wa muziki Afrika kutokea Nigeria, bado anaendelea kupiga deals na michongo kadhaa Unyamwezini.

Ambapo baada ya kufanikiwa kufanya wimbo kwa mtayarishaji maarufu Swizz Beats, staa huyo ambae amezunguka kwenye tour na Chris Brown ana deal mpya kwa sasa.

Staa huyo ameingia tena studio kufanya ngoma na rapper wa Coke Boys French Montana. Muongozaji wa video wa label ya MMG, Spliff ameweka video Instagram akiwa studio na Wiz na kuandika kuwa ni ngoma aliyofanya na Montana.

Wakati collabo hizo zikiwa jikoni, wimbo wa Drake, One Dance alioshirikishwa, bado umekamata namba moja kwenye chat za Billboard Hot 100.

Mwaka huu staa huyo anachuana na mastaa wengine akiwemo Diamond, AKA, Cassper Nyovest na Yemi Alade kwenye tuzo za BET zinazotolewa wikiendi hi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here