Habari zilizoifikia Blog yetu ya robbyclassic.blogspot.com ni kuwa Mabasi mawili ya Kampuni ya CITY BOYS EXPRESS moja likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea Kahama na jingine kutokea Kahama kuelekea jijini Dar es Salaam yamegongana ana kwa ana na kusababisha vifo zaidi ya 24 papo kwa papo.
Shuhuda wa tukio hili anadai chanzo ni mwendo kasi na kujaribu kuovertake magari mengine pasipo kuchukua tahadhari.
Samahani kwa picha hizi ila tunapenda kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki waliondokewa na ndugu zao wapendwa
PICHA ZA AJALI YENYEWE HIZI HAPA.
No comments:
Post a Comment