Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii usiku huu inaeleza kuwa, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo, amefariki Dunia leo huko jijini Arusha kufuatia kuugua kwa muda. Taarifa kamili itawajia kadri itakabyokuwa ikitufikia.
MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
- AMIN.
No comments:
Post a Comment