CHELSEA YAMNASA MRITHI SAHIHI WA DROGBA. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 2, 2016

CHELSEA YAMNASA MRITHI SAHIHI WA DROGBA.


MICHY Batshuayi aliyeifungia Ubelgiji bao la kwanza katika pambano dhidi ya Hungary alipewa ruhusa maalumu na kocha wake, Marc Wilmots kwa ajili ya kupimwa afya na Chelsea akiwa kambini hapo na dili hilo linatarajiwa kukamilika muda wowote kuanzia sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here