Wawakilishi wa wana- Chuo cha utumishi tawi la Singida wakipeleka mashuka 72 kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Singida leo tarehe 22/7/2016 ikiwa ni msaada wao waliojitolea kwa kuchangishana
Bw. Ramadhani Marijani, kiongozi wa msafara wa wanaChuo cha utumishi tawi la Singida akipeleka mashuka 72 kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Singida leo tarehe 22/7/2016 ikiwa ni msaada wao waliojitolea kwa kuchangishana
Wawakilishi wa Chuo cha utumishi tawi la Singida wakiwasilisha mashuka 72 kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Singida leo tarehe 22/7/2016 ikiwa ni msaada wao waliojitolea kwa kuchangishana
No comments:
Post a Comment