HILLARY CLINTON AMEMTEUA TIM KAINE KUWA MGOMBEA MWENZA - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, July 24, 2016

HILLARY CLINTON AMEMTEUA TIM KAINE KUWA MGOMBEA MWENZA


Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amemteuwa Seneta Tim Kaine, kutoka Virginia kuwa mgombea wake mwenza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini humo tarehe 8 Novemba.

Bi Clinton alitangaza uteuzi huo kupitia akaunti yake ya Twitter akimtaja mgombea mwenza huyo kuwa ni mfuasi mkubwa wa makubaliano huru ya biashara na anatarajia kumtambulisha rasmi leo katika mkutano wa hadhara huko Miami.

Kaine ambaye anaongea kihispania vizuri anatarajia kuwavutia wapiga kura wamarekani wenye asili ya Uhispania kundi ambalo ni kubwa katika chaguzi za Marekani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here