KAULI YA KAMUSOKO BAADA YA KUWA NOMINATED KATKA TUZO ZA VPL - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, July 13, 2016

KAULI YA KAMUSOKO BAADA YA KUWA NOMINATED KATKA TUZO ZA VPL


Jumamosi ya July 9 2016 majina ya nominees watakaowania tuzo za Ligi Kuu soka Tanzania bara (VPL) msimu wa 2015/2016 yalitajwa, July 17 2016 ndio siku rasmi ya utolewaji wa tuzo hizo, tuzo hizo kwa msimu wa 2015/2016 zitatolewa 13 kwa vipengele 13 vilivyotajwa.

Miongoni mwa majina au vipengele vilivyopo ni tuzo ya mchezaji bora wa kigeni, ambapo katika Category hiyo ametajwa Thabani Kamusoko,Donald Ngoma wa Yanga ambao wote ni raia wa Zimbabwe naVincent Agban wa Simba raia wa Ivory Coast. Ayo TV ilimpata katika exclusive Thabani Kamusoko, alitarajia kuwa nominated?

“Sikutarajia kwa namna nilivyokuwa nacheza naweza kusema sikuwa nimetarajia kuwa nominated katika TOP 3 ya wachezaji bora wa kigeni, lakini najisikia furaha maana kuwa nominated una kitu fulani ndio maana upo pale”

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here