Klabu ya Liverpool imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Estonia Ragnar Klavan, Liverpool imekamilisha usajili wa Ragnar Klavan mwenye umri wa miaka 30 kutokea klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani.
Imemsajili kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi, dau lake linakisiwa kufikia pound milioni 4.2.
No comments:
Post a Comment