MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 23, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo aliwaambia umoja na mshikamano ni nguzo muhimu kwa wanawake .

Aliwataka kutumia fursa zinazopatikana mjini na kujiunga na Majukwaa ya Wanawake.

 

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Wilaya ya Uvinza ,Asha Baraka akichangia jambo wakati wa Mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan


Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia mazungumzo baina yao na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here