MSANII VANESSA MDEE AWEKWA KITANZINI - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, July 7, 2016

MSANII VANESSA MDEE AWEKWA KITANZINI


Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend.

Na sasa ameimbia mishe mishe media sababu ya kufanya hivyo licha ya kujulikana wazi kuwa ana uhusiano na Jux.
“Always nikiwa kwenye interview napenda kuavoid maswali ambayo yanahusiana na Juma (Jux),” anasema.

“For every simple reason, interview inakuwa ya Juma tena, tuna changamoto nyingi tayari wanawake kwenye game so I don’t want to be known as Juma’s girlfriend always. Kuna vitu ambavyo nataka kuongelea, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea show ya 2 Face, ambayo nilikuwa mwanamke pekee anayeperform, na ilikuwa show yangu ya kwanza Kenya, kuongelea Niroge, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea vitu vingi zaidi ya Juma na Vanessa,”

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here