MWENYEKITI MPYA WA BODI YA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF), SPIKA MSTAAFU, ANNE MAKINJDA AANZA KAZI RASMI, ATEMBELEA SSRA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI IRENE ISAKA - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, July 5, 2016

MWENYEKITI MPYA WA BODI YA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF), SPIKA MSTAAFU, ANNE MAKINJDA AANZA KAZI RASMI, ATEMBELEA SSRA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI IRENE ISAKA


Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Spika mstaafu, Mhe, Anne Makinda akiwa na Mkurugenzi wa Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka, alipotembelea Ofisi za mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam leo na kufanya mazungumzo ya kikazi na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo. 


Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mhe. Spika Mstaafu Anne Makinda akiwana katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (kushoto), mara baada ya mazungumzo ya kikazi leo, katika Ofisi za mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here