
Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi na Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka wahudhuria sherehe ya kimila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha nyumbani kwa mhe Diwani Saimon.

Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka akiongea na wananchi katika sherehe ya kimila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha nyumbani kwa mhe Diwani Saimon.

Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akiongea katika sherehe ya kimila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha nyumbani kwa mhe Diwani Saimon.

No comments:
Post a Comment