Simba imekamilisha usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao (2016-17) ambao kwa asilimia kubwa imeufanya kimyakimya hususan ule wa wachezaji wa nje ya nch.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji watakaohudumu kwenye msimu ujao kuanzia magolikipa hadi washambuliaji.
Hiki hapa ni kikosi kamili cha ‘Wekundu wa Msimbazi;’
Goalkeepers:
Foreign: Vincent De Paul Angban
Peter Manyika
Denis Deonis
Right Back:
Hamadi Juma: Coastal Union
Salum Kimenya: Prisons
Left Back:
Mohamed Hussein
Abdi Banda
Centerback:
Novaty Lufunga
Foreign: Juuko Murushid
Emmanuel Simwanza: Mwadui FC
Foreign: Janvier Besala Bokungu
Midfielders:
Jonas Mkude
Awadh Juma
Foreign: Justice Majabvi
Saidi Ndemla
Mwinyi Kazimoto
Mzamiru Yassin: Mtibwa Sugar
Mohamed Ibrahim: Mtibwa Sugar
Foreign: Mussa Ndusha
Wingers:
Peter Mwalyanzi
Jamal Mnyate – Mwadui FC
Shiza Kichuya – Mtibwa Sugar
Hassan Kabunda – Mwadui FC
Strikers:
Ibrahim Hajibu
Daniel Lyanga
Haji Ugando
Mbaraka Yusuf – Kagera Sugar
Laudit Mavugo – Vital’O (Burundi)
Blagnon Goue Frederic: Africa Sports (Ivory Coast)
Ame Ali – Azam FC
No comments:
Post a Comment