ZAIDI YA MASHIRIKA 2000 YAFUNGWA UTURUKI . - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, July 24, 2016

ZAIDI YA MASHIRIKA 2000 YAFUNGWA UTURUKI .


Utawala nchini Uturuki unasema umefunga zaidi ya mashirika 2000 yenye uhusiano na kiongozi wa dini anayeishi nchini Marekani Fethullah Gulen, ambaye analaumiwa kwa kupanga mapinduzi ya kijeshi yaliyozimwa wiki iliyopita.

Amekana kuhusika . Kati ya mashirika yaliyofungwa ni pamoja na vituo vya afya na zaidi ya shule 1000 za kibinafsi.

Hatua hizo zimechukuliwa kama moja ya jitihada kubwa za kukabiliana na mitandao inayomuunga mkono bwana Gulen.
Maelfu ya wanajeshi, polisi na watu wengine wamekamatwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here