TUNDU LISSU AMJIBU RAIS MAGUFULI. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, August 9, 2016

TUNDU LISSU AMJIBU RAIS MAGUFULI.


Jumanee ya leo August 9 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam kutoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata kutoka serikalini.

Mwanasheria wa chama hicho Tundu Lissu amesema hakuna mtu toka Chadema anayetaka kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na Polisi kwa sababu mahabusu sio pazuri.

"Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake" Amesema Tundu Lissu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here