NAHODHA WA TIMU YA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MOROGORO - PATRICIA-TV.com

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Monday, May 29, 2017

NAHODHA WA TIMU YA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MOROGORO

Responsive Ads Here
Mkude apata ajali: Gari toyota VX namba za usajili T 834 BLZwalilokuwa wakisafiria mashabiki wa timu ya Simba ambalo pia inadaiwa kingo na nahodha wa timu ya Simba, Jonas Mkude limepata ajali eneo la Dumila Morogoro. 

Taarifa za awali majeruhi wamepatiwa huduma ya kwanza na wengine wamepelekwa hospitali Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad