NYOTA WA TOTTENHAM HOTSPURS VICTOR WANYAMA AZURU TANZANIA - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, June 20, 2017

NYOTA WA TOTTENHAM HOTSPURS VICTOR WANYAMA AZURU TANZANIA


Victor Wanyama amesema zaidi anazijua Yanga, Simba na Azam FC linapozungumziwa soka nchini.

Kiungo huyo nyota wa Tottenham Hotspurs ya England ametua nchini akiongozana na ndugu zake.

Wanyama yuko nchini kwa mapumziko na amesema anajua soka ya Tanzania, sawa na Kenya lakini timu hizo tatu ndizo anazozijua zaidi.

"Nazijua Yanga, Simba pia Azam FC. Soka la Kenya na Tanzania hakuna tofauti kubwa.

"Watu wa Afrika Mashariki tunapaswa kuungana na kusaidia maendeleo kwa ujumla," alisema Wanyama

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here