BREAKING NEWZZZZ: WATU WAPOTEZA MAISHA NA ZAIDI YA 100 WAMEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI UWANJA WA NDEGE WA ATATURK JIJINI ISTANBUL , UTURUKI USIKU HUU. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, June 28, 2016

BREAKING NEWZZZZ: WATU WAPOTEZA MAISHA NA ZAIDI YA 100 WAMEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI UWANJA WA NDEGE WA ATATURK JIJINI ISTANBUL , UTURUKI USIKU HUU.


Kiasi cha watu 32 wameripotiwa kupoteza maisha hadi sasa na zaidi ya 60 kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea katika mlango wa kuingilia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ataturk jijini Istanbul usiku huu katika kile kinachosadikiwa kuwa ni shambulio la kikundi cha ISIS.

inasadikiwa washambulizi magaidi watatu wa kujitoa muhanga wamesababisha shambulio hilo baada ya kujilipua katika sehemu mbili tofauti za uwanja huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here