JIONEE MAWAZIRI WA SUDAN KUSINI WANAVYOVYAA. - PATRICIA-TV.com

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Sunday, June 19, 2016

JIONEE MAWAZIRI WA SUDAN KUSINI WANAVYOVYAA.

Responsive Ads Here

Kulia ni Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji huko Sudan Kusini bwana MABIOR GARANG (aliyevaa viatu vyeupe).

Katikati ni Waziri wa Ulinzi aliyevaa kandambili na utepe mwekundu begani,

Kushoto ni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, aliyeshika kirungu nje ya ukumbi wa Bunge mjini Juba Sudan Kusini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad