KUTOKA BUNGENI: GOODLUCK MLINGA ( CCM ) ATOA MPYA .. ADAI ANATROPIA ( CHADEMA) ANAMTAMANI KIMAPENZI. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

KUTOKA BUNGENI: GOODLUCK MLINGA ( CCM ) ATOA MPYA .. ADAI ANATROPIA ( CHADEMA) ANAMTAMANI KIMAPENZI.


Anasema kuwa wakati yupo Bungeni, mbunge wa CHADEMA Anatropia alimvua kofia aina ya kibagharashia na kutokomea kusikojulikana, na...
 
- Kumfanya akose sifa ya kuingia bungeni, hivyo wananchi wa Ulanga kukosa mwakilishi kwa muda 

- Kumsababishia mtikisiko wa Mawazo kwa kumnyang'anya kofia. 
- Kulikosea heshima vazi hilo (Utamaduni wa vazi hilo anayepaswa kumvua ni mkewe) 

- Kuingilia Himaya ya Mke wake (Mama Glory) kwasababu yeye siye mkewe. 

- Kuvunja Amri ya Tisa inayokataza kutamani mali ya mtu mwingine, hivyo Anatropia amemtamani kimapenzi 

- Kuvunja Msimamo wa CHADEMA wa kutojongelea wabunge wa CCM 

Ameuliza hivyo vitendo vyote vinaruhusiwa kwenye Bunge Tukufu? Tazama Video:

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here