MBUNGE MH . ANATROPIA AMJIBU MH : GUDLUCK WA ULANGA KUHUSU KUMVUA KOFIA . - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, June 23, 2016

MBUNGE MH . ANATROPIA AMJIBU MH : GUDLUCK WA ULANGA KUHUSU KUMVUA KOFIA .


Akizungumza na EATV kuhusu tuhuma hizo Mbunge Anatropia amesema ''Nilikuwa natembea haraka kwenda kwenye kikao na kofia yake iliguswa na mkono kwa kusukumana na kuokotwa na ndiyo maana alivyotoka binafsi nilimsaidia kutafuta aliyeiokota''.

Aidha Mbunge huyo amesema kwamba bado wanazidi kuwasiliana ili kujua mtu aliyeiokota na baraghashia hiyo na kuondoka nayo.....

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here