MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJAFIKA MIAKA 28. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, June 19, 2016

MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJAFIKA MIAKA 28.


1. Jifunze kuweka akiba ya fedha
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye
3. Acha kuishi na wazai au kupanga nyumba na washikaji
4. Achana na starehe zisizo na maana
5. Jali sana afya yako

Soma: Siri Za Matajiri Wakubwa Zafichuka.

6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo
7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani n.k
8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza
9. Acha mambo ya kitoto
10. Zingatia sana muda wako.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here