MWENGE WAINGIA MKOA WA IRINGA - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, June 19, 2016

MWENGE WAINGIA MKOA WA IRINGA

MWENGE WAINGIA MKOA WA IRINGA  
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina MasenzaMkuu wa wilaya ya Iringa Richard KaseselaMkuu wawilaya ya Kilolo Selemani Mzee na Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jolwika Kasunga wakicheza ngoma ya kihehe wakipokea Mwenge kutoka Mkoa wa Njombe leo eneo la Nyigo 
2321 Vijana wa Karate na chipukizi kutoka Iringa wakiwaonyesha Njombe ufundi wa kisansui 
MWENGE WAINGIA MKOA WA IRINGA  
Mkuu wa mkoa wa Njombe Bi rehema Nchimbi leo amemkabidhi Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Msenza Mwenge wa Uhuru utakaokimbizwa kwa siku 5 mkoa wa Iringa wenye halmashauri 5 na kuzindua miradi, kukagua na kuweka jiwe la Msingi yenye thamni ya Tsh bil 25. leo Mwenge huo umekimbizwa Wilaya ya Mufindi , kesho wilaya ya Iringa. shamrashamra hizo zilifanyika kijiji cha Nyigo. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here