Ukiachana na burudani ya uwanjani inayopatikana kwenye michuano ya Ndondo Cup, nje ya uwanja huwa kuna balaa jingine kutoka kwa vikundi vya ushangiliaji ambavyo huzipa nguvu timu zao zikiwa zinapambana.
Shabiki wa Kauzu FC anajizolea umaarufu kila kukicha, amepata mpinzani. Huyu si mwingine bali ni shabiki kutoka Temeke Market ambaye ameanza kuwashika wadau kutokana na style zake za ushangiliaji.
Jana alikuwa kivutio kikubwa wati wa mchezo kati ya Temeke Market dhidi ya Kinondoni FC kwenye uwanja wa Bandari pale Tandika, Temeke.
patricia-TV.com ilinasa matukio kadhaa ya nje ya uwanja, nahizi ni picha 14 zinahusisha matukio mbalimbali ya nje ya uwanja ya mchezo huo.
No comments:
Post a Comment