Kikosi cha Yanga kipo mjini Bejaia, Algeria kwa ajili ya mtanange wao wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya timu ya mji huo MO Bejaia unaotarajiwa kuchezwa saa 6:15 usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu kwa saa za Afrika Mashariki.
Patricia-Tv.com imezinasa picha za wachezaji wa Yanga wakati wakipata msosi wa leo mchana kwenye hotel ya Rayal ambako wamefikia.

No comments:
Post a Comment