Kikao (pre-match meeting) kwa ajili ya mchezo wa kesho kati ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ dhidi ya Ushelisheli kimefanyika usiku wa Jumamosi June 25 tayari kwa ajili ya mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa Jumapili June 26 kwenye uwanja wa taifa.
Mambo yaliyofanyika katika kikao hicho ni pamoja kila timu kuonesha jezi zitakazotumiwa na timu yao kwenye mchezo husika.
Hizi hapa picha nane ambazo za matukio kadhaa yaliyojiri kwenye kikao hicho.
No comments:
Post a Comment