LIST YA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA TP MAZEMBE WATAKAOTUA DAR KUKABILIANA NA YANGA - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, June 25, 2016

LIST YA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA TP MAZEMBE WATAKAOTUA DAR KUKABILIANA NA YANGA


Kikosi cha TP Mazembe kinatarajia kuwasili nchini Jumapili June 26 tayari kwa ajili ya mchezo wa kimatafa wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Yanga.

Mazembe watatua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa JNIA majira ya saa 3:00 usiku kisha kuelekea Serena Hotel ambako watafikia kabla ya mchezo wao wa Jumanne. Kikosi hicho kitakuwa na wachezaji 18, benchi la ufundi watu watano, madaktari wa timu wawili, mhudumu mmoja na wanahabari watatu.

WACHEZAJI

Robert Kidiaba
Sylvain Gbohou
Issama Mpeko
Joel Kimwaki
Thomas Ulimwengu
Christian Koume
Jean Kasusula
Salif Coullbaly
Merveille Bope
Jose Badibake
Kissi Boateng
Roger Assale
Rainford Kalaba
Deo Kanda
Adama Traore
Chriastian Luyindama
Nathan Sinkala
Joas Sakuwaha

BENCHI LA UFUNDI

Theobald Binamungu
Mohamed Kamwanya
Dony Kabongo
Frederic Kitengie
Andre Ntime

MADAKTARI

Hurbert Velud
Pamphile Mihayo

MHUDUMU

Richard Mubemb

PRESS

Heritier Yinduka
Arther Kikuni
Meshack Kayembe

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here