VIDEO: Goli la mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1 - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, June 28, 2016

VIDEO: Goli la mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1


June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika mchezo huo Yanga ilifungwa goli 1-0, goli amble lilifungwa na Merveille Bope dakika ya 74.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here