WIZARA YA ARDHI YAANZA KUTOA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA SABASABA. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, June 28, 2016

WIZARA YA ARDHI YAANZA KUTOA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA SABASABA.


Banda la maonesho la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi likiwa limeanza rasmi kutoa huduma katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere vya Sabasaba Dar es salaam.


Baadhi ya Wananchi wakipata maelezo ya huduma za mipango miji zinazosimamiwa na Wizara ya Ardhi.


Muoneshaji wa Wizara ya Ardhi bi. Mwanamkuu Ally akiwapa maelezo wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Ardhi kifaa kinachotumika katika upimaji wa Ardhi cha aina ya Total station.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here