MAAFISA WA 4 WATUMBULIA GHAFLA KWA TUHUMA ZA UDANGANYIFU - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 23, 2016

MAAFISA WA 4 WATUMBULIA GHAFLA KWA TUHUMA ZA UDANGANYIFU


Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia General Mstaafu Emmanuel Maganga ameagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa maendeleo wanne wa Halmashauri za Manispaa ya Kigoma Ujiji na Wilaya ya Kigoma kwa tuhuma za uzembe na udanganyifu kwa kuweka miradi hewa katika ukaguzi wa mbio za mwenge.

Aidha mkuu huyo wa mkoa ameziagiza Mamlaka husika kuwasimamisha kazi makaimu wakurugenzi wa halmashauri hizo Sultani Ndoliwa aliyekuwa akikaimu nafasi ya mkurugenzi Manispa ya Kigoma ujiji na Dokta Revocatus Masanja aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kigoma ili kupisha uchunguzi.

Mwenge wa uhuru unaendelea na mbio zake mkoa kigoma ambapo unatarajiwa kuhitimishwa mbio zake mkoani hapa Julai 23 na kubidhiwa mkoa wa Kagera.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here