Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw.Bruce Zhang wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake leo kwa mazungumzo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw.Bruce Zhang wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake leo kwa mazungumzo.
[Picha na Ikulu.] 20/07/2016.
No comments:
Post a Comment