MFANYA BIASHARA MAARUFU ARUSHA MATATANI KWA UKWEPAJI KODI. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 2, 2016

MFANYA BIASHARA MAARUFU ARUSHA MATATANI KWA UKWEPAJI KODI.


Habari zilizotufikia kituo chetu cha radio kutokea jijini Arusha zinasema mfanyabiashara maarufu Minja aliyekua anamiliki Supermarket ya Morden na Pia anamiliki shule ya kujifunzia kuendesha magari ya Morden Driving school ameingia Matatani kwa ukwepaji wa kodi ya serikali kwa njia tafauti.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here