Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amepiga marufuku biashara ya shisha, Sigara na Ushoga jijini Dar.
'Mimi ndio mbabe wa vita. Ndani ya siku 7 biashara iwe imefungwa Mara moja' amesema Makonda.
Amesema Ndani ya mkoa wangu(Dar) ni marufuku kuvuta sigara hadharani!
Aidha, ni marufuku wakazi wa Dar ku-follow mashoga kwenye twitter, Facebook, Instagram nk. Amewatahadharisha watu Just kuunfollow them ili usiwe hatiani!
Kaongezea kwamba, Kuna Asasi za Kiraia(NGO) zinapokea misaada ili zitetee mashoga. Kwenye mkoa wake wa Dar hizo NGO zote atazifuta.
Ameongeza, Ukiandaa Kitchen-Party ukamwalika shoga; wewe bibi harusi na familia yako na huyo shoga mna hatia zinazofanana!
Wale wanaowa-follow mashoga ktk mitandao ya kijamii wanafanya makosa sawa na mashoga. Tutawashughulikia kwa makosa sawa
Dar es Salaam Sasa Kumekucha.
No comments:
Post a Comment