Mpigapicha wa Azam TV, Omary Massoud (pichani) amefariki hii leo katika ajali ya pikipiki katika eneo la Makongo jijini Dar es Salaam akielekea kazi.
Marehemu alijiunga na Azam Tv akitokea Star TV.
Share daily activities and have all funs here
About PATRICIA-TV
No comments:
Post a Comment