MWIGIZAJI BONGO MOVE ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KUJIUNGA NA CCM. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, July 24, 2016

MWIGIZAJI BONGO MOVE ATANGAZA KUHAMA CHADEMA NA KUJIUNGA NA CCM.


Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana

Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here