WASANII WAMLILIA KIKWETE WALIPOKUWA WAKIMUAGA KWA KUSTAAFU UWENYEKITI WA CHAMA . - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, July 24, 2016

WASANII WAMLILIA KIKWETE WALIPOKUWA WAKIMUAGA KWA KUSTAAFU UWENYEKITI WA CHAMA .


Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama hicho.

Wasanii wameyasema hayo usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma walipofanya tamasha la Usiku wa Wasanii kwa ajili ya kumuaga baada ya kustaafu rasmi uwenyekiti wa chama hicho na kumuachia uongozi Rais John Magufuli




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here