RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA EXIM YA CHINA IKULU NDOGO YA CHAMWINO MKOANI DODOMA. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 23, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA EXIM YA CHINA IKULU NDOGO YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang wa kwanza kulia katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma. Wakwanza kushoto ni Balozi wa China hapa nchini Lu Youqing.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha pamoja na ujumbe wa Rais wa Benki ya Exim ya China Liu Liang katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here