RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AWASILI HAPA NCHINI - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 1, 2016

RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AWASILI HAPA NCHINI


Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo na Kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Joseph Pombe Magufuli. Baada ya Hapo ataelekea Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufanya Mazungumzo.

Baada ya hapo wataelekea katika Viwanja wa Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufungua rasmi maonesho ya 40 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here