TANAPA YAFANIKISHA UJENZI WA ZAHANATI KATIKA KIJIJI CHA IKUZA WILAYANI MULEBA. . - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, July 12, 2016

TANAPA YAFANIKISHA UJENZI WA ZAHANATI KATIKA KIJIJI CHA IKUZA WILAYANI MULEBA. .


Diwani wa kata ya Ikuza iliyopo katika Kisiwa cha Ikuza , wilayani Muleba mkoa wa Kagera,Fortunatus Matta (Kulia) akimueleza jambo Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete alipoongozana na wanahabari kutembelea kijiji hicho cha Ikuza.Wengine ni wakazi wa kijiji hicho.



Sehemu mbalimbali za Jengo la Zahanati ya kijiji cha Ikuza wilayani Muleba lililojengwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa ushirikiano na Halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera.


Mzee William Lugaga akizungumza namna wananchi wa Kisiwa cha Ikuza wanavyopata shida katika kupata huduma ya afya hali ambayo imewalazimu kusafiri wa kutumia mitumbwi kwenda kutafuta huduma hiyo vijiji vya jirani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here